Ijumaa Health Lab

Maabara ya afya inayotoa huduma za uchunguzi wa kimatibabu na vipimo vya damu kwa wote. Tunatumia teknolohia ya kisasa na wataalamu wenye ujuzi wa juu kwa matokeo sahihi na haraka.