Skip to product information
Eucerin Anti-Pigment Cleansing Gel
85,000.00 TZS
Sale price
85,000.00 TZS
Regular price
Eucerin Anti-Pigment Cleansing Gel ni sabuni ya uso inayotengenezwa na dermatologists kwa ajili ya kupunguza hyperpigmentation. Ina 2% AHA complex inayosaidia kuexfoliate na kuondoa seli zilizokufa za ngozi.
Faida Kuu
-
Ina 2% Complexe Exfoliant AHA
-
Inapunguza hyperpigmentation pole pole
-
Inasafisha ngozi kwa kina
-
Inasaidia kuondoa seli zilizokufa
-
Inatengenezwa na dermatologists
-
Inafaa kwa matumizi ya kila siku
Matumizi
Weka maji kwenye uso. Weka gel kidogo kwenye mikono na uchanganye kuunda povu. Safisha uso kwa mzunguko mzuri kwa dakika 1-2. Osha vizuri. Tumia mara mbili kwa siku.
Viungo Muhimu
2% AHA Complex, Thiamidol, Glycerin