Olay Dark Spot Correcting Body Lotion - 502mls

Olay Dark Spot Correcting Body Lotion - 502mls

70,000.00 TZS
Sale price  70,000.00 TZS Regular price 
Skip to product information
Olay Dark Spot Correcting Body Lotion - 502mls

Olay Dark Spot Correcting Body Lotion - 502mls

70,000.00 TZS
Sale price  70,000.00 TZS Regular price 
Olay Dark Spot Correcting Body Lotion ni losheni ya kipekee iliyoundwa kupunguza madoa meusi sugu kwa wiki 4 tu. Imejumuisha AHA, Vitamin C na Niacinamide zinazofanya kazi kwa pamoja kutoa ngozi yenye rangi moja na yenye kung'aa.

Faida Ku

  • Inapunguza madoa meusi kwa wiki 4
  • Imethibitishwa kliniki kwa ngozi yenye melanin
  • Ina exfoliate ngozi pole pole
  • Ina AHA, Vitamin C & Niacinamide
  • Inahydrate kwa kina na kulainisha ngozi
  • Inafaa kwa matumizi ya mwili wote

Matumizi

Tumia kila siku jioni. Weka losheni kwenye sehemu zilizo na madoa meusi na uichanganye vizuri. Tumia mara moja kwa siku kwa wiki 4 kuona matokeo. Epuka jua moja kwa moja baada ya kutumia.

Viungo Muhimu

AHA, Vitamin C, Niacinamide, Glycerin, Sunscreen Alert
  • franco pharmacy
  • tanzania skincare
  • cerave tanzania
  • la roche posay tanzania
  • eucerin tanzania
  • bioderma tanzania
  • authentic skincare
  • dermatologist recommended
  • skincare routine

You may also like