Skip to product information
CeraVe Moisturising Cream - 454g
75,000.00 TZS
Sale price
75,000.00 TZS
Regular price
CeraVe Moisturising Cream ni krimu tajiri iliyotengenezwa na madaktari wa ngozi (dermatologists) kwa ajili ya ngozi kavu hadi kavu sana. Ina Ceramides 3 muhimu na Hyaluronic Acid zinazosaidia kurejesha kizuizi cha ulinzi cha ngozi kwa njia ya asili.
Faida Ku
-
Inahydrate na kulainisha ngozi kwa masaa 24
-
Inarejesha kizuizi cha ulinzi cha ngozi
-
Haina harufu (Fragrance Free)
-
Inafaa kwa uso na mwili
-
Imethibitishwa na National Eczema Association
-
Ina MVE Technology inayotoa hydration pole pole
Matumizi
Safisha uso au mwili kwanza. Weka krimu kwa mzunguko mzuri hadi iyeyuke ndani ya ngozi. Tumia mara mbili au zaidi kwa siku kama inavyohitajika. Kwa matokeo bora, tumia baada ya kuoga.
Viungo Muhimu
Ceramides (NP, AP, EOP), Hyaluronic Acid, Glycerin